Polisi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa George Bush, Houton, Texas
Vipipi vya madawa ya kulevya vyenye uzito wa karibu pound 5, vilivyokamatwa mwezi March, Dulles International Airport Virginia kutoka kwa mwanamke Mnigeria.
Hii ndio Houston Northwest Medical Center alipoletwa Bryan Mukama
Hans kumalizia kutoa vipipi 78 vingine vilivyokua vimebaki tumboni.
Bryan Mukama Hans, 30, Mtanzania aliyekua amekuja Marekani na VISA ya
kutembea kwenye Family Re-Union alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya
kushikiliwa na Polisi wa Uwanja wandege wa kimataifa wa George Bush,
Houston, Texas baada ya kupatikana amemeza vipipi vya madaya ya kulevya
vifikavyo 100 vyenye uzito karibia pound 3.
Bryan Mukama Hans alikamatwa Mwezi uliopita baada ya.. kushukiwa alipokua na wasiwasi mwingi, midomo mikavu na alipokua akiulizwa maswali na uhamiaji alijibu huku akikwepesha macho na kudai alikua yupo njiani kuelekea Utah kuungana na familia yake kwenye Family Re-Union na mmoja ya wanafamilia alithibitisha kuwepo wa family Re-Unioni hiyo iliyokua ifanyike July 4, siku ya Uhuru wa Marekani na sio June kama alivyokua akidai Hans.
Baada ya kufanyiwa X-ray ya tumbo, Hans aliomba kutumia choo na kutoa vipipi 22 vilivyopimwa na kuthibitika kwamba ni Heroin na baadae alipelekwa Houston Northwest Medical Center na kutoa vipipi vingine 78

Bryan Mukama Hans alisema anafanyakazi ya kuuza magari Tanzania lakini
mmoja ya mwanafamilia aishie Utah alisema ni mfanyabiashara anaemiliki
Duka pia Hans tiketi yake ilionyesha kuishia Houston na sio Utah pia
tiketi ilionyesha alitakiwa kurudi Tanzania June 18, siku 16 kabla ya
family Re-Union.
No comments:
Post a Comment