Pages

Tigo Mini Kabaang Ilikua Hapatoshi Jijini Mwanza You Know..?!

Tigo Mini Kabaang
Mshindi wa simu ya mkononi kutoka Tigo Bw. Faraji Ismail (kushoto) akipungia simu aliyoshinda na kuzawadiwa na mwakilishi wa Tigo kanda ya ziwa Bw. Eliud Mjuni (kulia). Katikati ni MC Nambiles Msimbe, .

Msanii Madee akitoa burudani.
Tigo Mini Kabaang
Msanii bora wa mwaka Naseeb Abdul aka Diamond au Rais wa Wasafi akitoa burudani pamoja na kundi lake la Wasafi.
Tigo Mini Kabaang
Msanii Recho juu ya stage akiwapagawisha mashabiki wa Mwanza.

Meneja Mawasiliano wa Tigo Amani Nkurlu (kulia) akimhoji msanii chipukizi wa hip-hop, Rasco (15), baada ya kuibuka mshindi wa free-style katika tamasha la Tigo Mini-Kabaang Mwanza.
Tigo Mini Kabaang
Umati wa mashabiki wa Mwanza waliofika katika tamasha la Tigo Mini Kabaang katika viwanja vya CCM Kirumba.
Tigo Mini Kabaang
Nje ya Mwanza wanamfahamu kama Fid Q lakini kwao jijini Mwanza washamzoea kama Farid Kubanda. Hapa alikuwa aki-rock city ya Mwanza ndani ya tamasha la Tigo Mini Kabaang.
Tigo Mini Kabaang
Kikundi cha Jackson 5 kutoka Mwanza wakipafomu nyimbo yao ‘Maishani’ inayotamba jijini humo.
Tigo Mini Kabaang
Msanii Ney wa Mitego (katikati) akishuka kutoka kwenye gari la Tigo tayari kwa kuwaburudisha mashabiki wa Mini Kabaang jijini Mwanza.
Tigo Mini Kabaang
‘Kidole cha mwisho juu’ hiyo ndiyo ilikuwa sauti ya umati mzima pale msanii Roma Mkatoliki alivyopanda jukwaani kuwaburudisha maelfu ya mashabiki waliofurika katika tamasha la Tigo Mini Kabaang viwanja vya CCM Kirumba.
Rich Mavoko
Rich Mavoko akipafomu nyimbo ya ‘Mapenzi Sukari’ katika tamasha la Tigo Mini Kabaang.