Pages

RAIA WAVAMIA NA VIKOMBE NA VIBAKULI GARI LA MAZIWA BAADA YA GARI HILO KUPATA AJALI!


Bila kujali usalama wa afya zao, wakazi wa jiji la Dar es salaam wakikinga maziwa kwenye kontena la kampuni ya maziwa ya Tanga Fresh baada ya kichwa cha kontena hilo
kuchomoka na kuacha njia eneo la ubungo mataa leo Julai 24, 2013.likitokea Mkoani Tanga hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali
hiyo.
Fullshangwe
GARI LA MAZIWA
GARI LA MAZIWA


Kichwa chenye namba za usajili T 787 AFX kinachobeba kontena la maziwa kikiwa pembeni mwa barabara mara baada ya kuacha njia. Lori hilo lilitokea mkoaniTanga na tayari lilishafika Dares salaam kabla ya balaa kulisibu. 
Fullshangwe.