Juu na chini ni Kate Middleton, Prince William, katika picha ya pamoja na mtoto wao nje ya ngazi za hospitali ya Mt. Mary hospitali ambayo Kate amejifungulia mtoto wao wa kwanza siku ya Jumatatu mchana July 22, 2013 Prince William aliwaambia wanahabari bado hawajampa jina huku Kate akiongezea kwamba Mumewe ameweza kumbadilisha mtoto wao diaper ya kwanza naona ameanza kupata uzoefu. 

