Pages

MASHINDANO YA KUSOMA QUR AAN TUKUFU KITAIFA YAFIKA TAMATI

Abdallah Abdulkadri,
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah
Abdulkadri, akisoma wakati wa fainali.
 Seif Salim Said
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Seif Salim Said ambaye ni mlemavu wa macho akisoma wakati wa fainali leo.
Diamond Jubilee
Baadhi ya viongozi wa Dini wakifuatilia mashindano hayo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee.

Baadhi ya wanafunzi walioshiriki katika fainali hizo za kusoma
Quran tukufu.
Ummy Swaleh Said
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Ummy Swaleh Said ambaye ni mremavu wa macho akisoma wakati wa fainali yake leo.
Aisha Sururu
Baadhi ya waumini wa Dini Ya Kislam wakiongozwa na Bi,Aisha Sururu wakifatilia Mashindano Hayo.

Zawadi walizopewa washindi

Mgeni Rasmi katika Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa Dkt. Suleiman Ally Yussuf (kulia) na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ,Morteza Sabouri, wakimkabizi zawadi ya Bajajji pamoja na pesa Sh.500,000, mshindi wa kuhifadhi Quran tukufu, Suria Ally Bakari leo.
Suleiman Ally Yussuf
Mgeni Rasmi katika Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa Dkt. Suleiman Ally Yussuf (kulia) akimkabidhi mshindi, Abdul Hamid, zawadi ya Bajaji na pesa taslimu Sh. 500,000.
 Quran 
Mgeni Rasmi katika Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa Dkt. Suleiman Ally Yussuf (kulia) na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ,Morteza Sabouri, wakimkabidhi zawadi wa chereani mshindi wa kusoma juzuu 20.
Quran Tukufu
Baadhi ya washindi wa kuhifadhi Quran Tukufu wakiomba Duwa baada ya kumalizika mashindano hayo.