Bondia Francis Miyeyusho (kulia) akitia saini mkataba wa makubaliano ya kupanda ulingoni kuzichapa siku ya sikukuu ya Idi mosi na Bondia Darius Lipupa wa Zambia, katika pambano lao litakalopigwa katika ukumbi wa Dar Live. Kushoto ni Rais wa TPBO LIMITED, Yassin Abdallah 'Ostadhi'