Pages

PICHA za MCHEZO ULIVYOKUA KATI YA TAIFA STARS vs UGANDA THE CRANES

CHAN
Wachezaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars' na Uganda Cranes wakiingia uwanjani tayari kwa kuanza mechi yao ya kufuzu kucheza Chan iliyofanyika kwenye uwanja wa Mandela, Namboole mjini Kampala.
CHAN
Kikosi cha timu ya taifa ya Uganda 'Uganda Cranes'
Taifa Stars' na Uganda Cranes
Mchezaji wa Taifa Stars Aggrey Morris (katikati) akiwania mpira huku akizongwa na mabeki wa Uganda Cranes.Taifa Stars inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Taifa Stars' na Uganda Cranes
Amri Kiemba akipongezwa na Mrisho Ngasa/ Aboubakar Salum 'Sure Boy' baada ya kushinda bao la kusawazisha dhidi ya Uganda Cranes
Taifa Stars' na Uganda Cranes

Washabiki wa Taifa Stars wakishangilia goli la kusawazisha..  Bofya Read more kwa picha zaidi..Taifa Stars' na Uganda Cranes  



Taifa Stars' na Uganda Cranes
Taifa Stars' na Uganda Cranes

No comments: