
Hizi ni baadhi ya Picha Za Ndege zisizokuwa na Rubani ambazo Jeshi la Marekani linazitumia katika Operesheni zake katika Vita Tofauti tofauti. Ndege hizi ndio ndege ambazo zitatolewa kuwaisaidia Wanajeshi wa Tanzania Nchini Kongo Kupambana na Waasi. Hii ni teknolojia mpya kwa nchi za Dunia ya Tatu wakati Nchi za Dunia ya Kwanza ni teknolijia iliyopo sasa.
An X-47B drone combat aircraft lands on the deck of the USS George H.W. Bush aircraft carrier. Photo: AP