Pages

PICHA ZA 50 CENT INSTAGRAM AKISISITIZA KUWA HAYUKO JELA

50 CENT, INSTAGRAM 50 CENT, INSTAGRAM

Rapper 50 hivi karibuni amekua kwenye headlines kwa kudaiwa kumfanyia fujo nyumbani kwake mpenzi wake wa zamani ambapo adhabu ya kosa hilo inaweza kuwa miaka mitano jela au kulipa faini….. sasa baada ya kuwekwa kwenye headlines sana 50 Cent amemua kutoa picha akiwa amerelax na kusisitiza kwamba hayuko jela, yuko huru tena batani.
50 CENT, INSTAGRAM 50 CENT, INSTAGRAM 50 CENT, INSTAGRAM 50 CENT, INSTAGRAM 50 CENT, INSTAGRAM