Pages

Majambazi Wamewapora Raia 2 Wakichina Mamilioni ya Shilling Eneo la Posta DSM (Video)

Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamewapora raia wawili wa Kichina mamilioni ya shilingi katika eneo la posta jijini Dar es Salaam baada ya kuwatisha kwa kitu kinahisiwa kuwa ni mlipuko wa baruti na kisha kutokomea kusikojulikana kwa kutumia usafiri wa pikipiki.