Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo kimeweka historia baada ya kufanikiwa kushinda kata zote nne katika uchaguzi wa madiwani uliofanyika mjini Arusha,uchaguzi huo ulizihusisha kata za Elerai, Themi, Kaloleni na Kimandolu . Habari kutoka kwa watu walio eneo la tukio wameweza kutujulisha kuwa hadi sasa CHADEMA wamefanikiwa kutwaa ushindi kwenye kata zote nne kama inavyoonekana hapo chini.....
ELERAI
CHADEMA - 1,715
CCM - 1,239
CUF - 213
THEMI
CHADEMA - 678
CCM - 326
CUF - 313
KALOLENI
CHADEMA - 1,019
CCM - 389
CUF - 169
KIMANDOLU
CHADEMA - 2,665
CCM - 1,169
CUF - 0
CHADEMA - 1,715
CCM - 1,239
CUF - 213
THEMI
CHADEMA - 678
CCM - 326
CUF - 313
KALOLENI
CHADEMA - 1,019
CCM - 389
CUF - 169
KIMANDOLU
CHADEMA - 2,665
CCM - 1,169
CUF - 0