Pages

Tutawapa Polisi Mkanda Japokuwa Wana Nia Mbaya -CHADEMA (Video)

Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA Mh. John Mnyika amesema watatoa Mkanda wa ulipuaji wa bomu la Arusha kwa Polisi baada ya kupata ushauri wa kisheria hasa baada ya Polisi kuonyesha nia mbaya