Pages

MOTO WATEKETEZA NYUMBA NA BAA KINONDONI

Nyumba nne zimeungua moto ikiwemo baa moja iliyopo Kinondoni maarufu kama Kinondoni sterio ambayo imeteketea yote huku ikiacha hali ya sintofahamu kwa ndugu jamaa na marafiki waliopaswa kuhudhuria sherehe iliyokuwa imepangwa kufanyika katika moja ya ukumbi uliopo katika baa hiyo.