HARD TALK~ MBURULA'S WA MAMBURULA'S AWADANGANYA WASOKUWA NA SUPER/ TENA TOP IN THE WORLD BLOG'S KAMA FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG" MBUTA NANGA!! MSIDANGANYIKE WALIMWENGU'
JAMANI NIMECHEKA SANA JAPO SIKUPENDA MUONE HII 'DAAH'' ILINIBIDI MUIONE
SIPENDI WATU KUDANGANYIKA,NA HATA HIVYO INAHUU ' AU NDO KUTAKA KUONYESHA
WEWE SIYO MBURULASA WA MA MAMBURULA'S SASA KAA UKIJUA KUNA MCHAGGA TOP
IN TOWN ALIOPO MAJUU HAOGOPI KUSEMA UKWELI NA KUYAFICHUA MABOVU YOTE'
HASA KUFYETUA FYETUA YOTE NA KUYAANIKA WAZI TENA KWENYE MIKEKA MWEKUNDU'
HABARI NDO HIYO NYOTA ZANGU' MPOO"
Pageviews today
9,489
Pageviews yesterday
14,557
Pageviews last month
209,396
Hahahhahahaa nimecheka sana alafu ikanibidi nisinyamaze kimnya Walimwengu msojua au kuwa na Blogs mzidi kudanganywa' ukweli ni huu hapa na kama anataka kubisha awaonyesheni kama hii ya kutoka kwangu FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG'
Hivi ni kwanini kujipachika vitu usokuwa navyo na kudanganya Wananchi
au niseme wenzio na huku unajua kuna kitu kinaitwa Upelelezi na Ushaidi''
Mbuta Nanga" ndiyo maana watu wakasema hayo matangazo yote aliyojaza
kwenye Kile kiblog chake halipwi hata hela ya soda'' sasa oneni hapa ''
alafu mjue kweli ukiona mtu akikimbiza mwizi jua yeye ndo mwizi ' ' habari ndo hiyo" so ajipange upya 'hakuna kuwadanganya watu hapa ukidhania Top Bloggers tutakuacha"
FLORA LYIMO FASHION POLICE /TOP IN TOWN MTANZANIA HALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO" NA ASOMUOGOPA MTU WALA KITU"
Jamani hebu msomeni huyo hapa chini na mauongo yake' hapo awaonyesheni COPY kama ya kwangu na siyo MANENO MATUPU yakujiandikia' any one anaweza kujiandikia hizo namba kwenye page yake' mie naona hizo ni zile namba alizokuwa ana DO' kule Marekani hadi alipofukuzwa mle'hebu awaambieni ukweli na aache kuwadanganya'vinginevyo Flora Lyimo yupo kuwamulika WAHARIBIFU WOTE' ONE BY ONE" mbuta nanga!!
LE MUTUZ SUPER BLOG YA WANANCHI SASA TUMEANZA KU-HIT FROM 25,00 TO 20,000 VISITORS A DAY + 5,000 WA FACEBOOK = 25,000 VISITORS A DAY!! THANKS PEOPLE!!

Pageviews

Top traffic sources - www.jamiiforums.com/www.facebook.com |m.facebook.com | www.google.co.tz
FLORA LYIMO FASHION POLICE PAGE VIWERS 05-06-2013