Video ya Meli Mv. Arafat Ikiteketea kwa Moto Bandarini Tanga
Meli ya mizigo ''Mv Arafat'' inayofanya safari zake kupeleka shehena ya
mizigo katika nchi jirani ya Kenya , Zanzibar na Mtwara Imeteketea kwa
moto katika bandari ya Tanga kwa kile kinachodaiwa kuwa hitilafu ya
umeme.