Rasimu ya Katiba Chadema Waitisha Kikao cha Dharura
Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kimeitisha kikao cha dharura
cha kamati kuu kujadili na kutoa msimamo wa rasimu ya katiba mpya na
kuwataka Watanzania kutokua na haraka kuendelea kuichambua rasimu kwa
makini ili kuiboresha.