
Kabuti ambaye ni mtoto wa Mzee Onyango ambaye ni muigizaji mkongwe nchini amesema kuwa amezungumza na baba yake (Mzee Onyango) muda mfupi uliopita ambaye yupo Tanga na jibu ni hili " baba yupo Tanga mzee onyango na nime mpigia simu kaniambia kwamba walikuwa na Masele kwenye hilo gari lakini si kwamba amefariki hapana ila masele aligonga mtu akakamatwa na raia wakavunja kioo na kutaka kumuua aligonga mtu wa kwanza na akataka kukimbia akagonga mwingine ndio ilivyo kuwa lakini ni mzima na yupo kituo cha police"