Pages

MAGIE HANLON AKIWA NA M 2 THE P ALIKOLAZWA AFRIKA YA KUSINI

AFRIKA YA KUSINI
Hali ya msanii M 2 The P inaendelea kuimarika na sasa yupo wodini ya wagonjwa wa kawaida baada ya kutembelewa na Magie Hanlon aliyefika Hospilini hapo kumjulia hali.
Magie Hanlon
Magie Hanlon mtanzania anayeishi Afrika ya kusini akiwa Hospitali kumjulia hali M 2 The P na kumkuta akiendelea vizuri na hali yake ikiendelea kuimarika.
 Msanii M 2 the P
Magie akiongea jambo na Msanii M 2 the P