Lile sakata lililosababisha bunge kuahirishwa mara mbili mfululizo na
kusababisha bajeti ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
kushindwa kuwasilishwa kutokana na baadhi ya wabunge kurushiana maneno
ya kashfa na matusi na kutishiana kupigana ngumi limemalizika baada ya
pande mbili zilizokuwa zikishutumiana kuombana radhi bungeni sambamba na
kuundoa kurasa zilizosababisha kadhia hiyo.
No comments:
Post a Comment