Pages

HOTEL KWA WAGENI WA SHEREHE YA MIAKA 3 NA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI

SWAHILI CULTURE IN USA
Hii ndio Country Inn & Suites Vijimambo iliyojiandikisha kwa ajili ya Wageni wanaotoka nje ya DMV. Nyumba hii ya kulala wageni haiko mbali na ukumbi utakaofanyikia sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo itakayoambatana na tamasha la utamaduni wa kiswahili Marekani. Unachotakiwa kufanya ni kupiga simu 301 350 8088 na ulizia unapiga kwa ajili ya SWAHILI CULTURE IN USA na wao watakubukia chumba kwa bei nafuu.
Siku tulizojiandikisha ni kuanzia Ijumaa Julai 5 na Jumamosi Jualai 6, 2013.
Anuani yao ni
Country Inn & Suites By Carlson,
8850 Hampton Mall Drive North,
Capitol Heights, MD 20743
Country Inn & Suites By Carlson,
Juu na chini ni vyumba vinavyoonekana.
TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI
TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI
Chumba cha mazoezi
Asante na Karibuni sana