CREW YA MKASI NA SALAMA JABIR WAINGIA LOCATION TAYARI KWA 'MKASI SEASON 2'
Baada ya kupumzika kwa takriban miezi mitatu, Salama Jabir na crew nzima ya kipindi cha Mkasi, wameingia location kuanza kutayarisha vipindi vipya vya msimu wa pili. Tazama baadhi ya picha za location.
Host wa show, Salama Jabir akipigwa make-up huku akiwaza atakavyokupa raha msimu ujao
Vanessa Mdee na Muba
Crew ya Mkasi ikiongozwa na Josh Murunga (katikati)