Hekaheka ya leo february 11 2013 imeanzia kwenye daladala ambapo dada mmoja mjamzito alikua kakaa karibu na bibi, ghafla yule dada akasikia ujauzito umeondoka yani tumbo limepotea katika hali isiyo ya kawaida, ndio akaanza kumsakama huyo bibi kwa madai kwamba ndio kauchukua huo ujauzito, kisa kizima unaweza kukisikiliza hapa chini…