* Diamond Show, Golden Creast Hotel Mwanza * *Picha hii inasambaa mtandaoni, Kutoka Golden Creast Hotel Mwanza ambapo Diamond alikuwa na show juzi kati kwaajili ya sikukuu ya wapendanao na kiingilio kinatajwa kuwa kulikuwa ni shilingi 20,000/- za kitanzania.*
Vitukovyamtaa blog