Pages

Wiz Khalifa is a Proud Father!!! Fatherhood Official

Hatimaye rapper Wiz Khalifa na mchumba wake Amber Rose wamekuwa wazazi rasmi kwa kupata mtoto wa kiume waliyemuita Sebastian Taylor Thomaz.
Wiz Khalifa ambaye jina lake ni Cameron Jibril Thomaz alitangaza habari hiyo kupitia Twitter baada ya – Amber Rose kujifungua mtoto wao wa kwanza.


 Snoop alitupia picha akiwa na Wiz Khalifa, ikiwa na caption ya kuwapongeza Wiz na Amber Rose kwa kupata mtoto wao huyo...