Fundi wa Tanesco Amekufa kwa Sababu za Kizembe za Ofisi
Fundi wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa amenaswa na umeme na kufariki hapo hapo baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo