Pages

Kutana na Mwanamke Mweusi Mwenye Nywele Ndefu Duniani!


Asha amezungumzia jinsi alivyokua addicted na nywele zake ambapo anaonekana kuzipenda kuliko kitu chochote duniani... Akiongea kwenye kipindi cha My Strange Addiction cha TLC Amesema anatumia masaa matano kila siku kuziweka tu sawa nywele hizo na chupa 24 za shampoo kila mwezi.

Asha pia anaweza kuzitumia nywele hizi kama mtu endapo atajisikia kujipumzisha sehemu yoyote ile.


anadai anasikia raha sana watu wakimshangaa nywele zake na kumuulizauliza maswali