Pages

Watu Wawili Wauawa Kikatili Mkoani Mara

Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa vibaya kwa kuchomwa visu huku mmoja ambaye ni mtoto yatima na mfanyakazi wa ndani akiuawa kikatili kwa kunyongwa na ndugu wa mwenye nyumba katika mtaa wa Kawawa katika manispaa ya Musoma mkoani Mara.