Mume wa aliyekuwa star wa muziki Nigeria Goldie Harvey, Bwana Steve Harvey amempa Live star wa muziki kutoka Kenya Prezzo kukaa mbali na familia yao coz ameshasababisha maumivu ya kutosha baada ya kuwa na mahusiano na mke wake.

Like that wasn't enough
Kupitia Ukurasa wake wa Facebook, Steve Harvey ameandika maneno yanayoonyesha wazi kumlenga Prezzo akiambatanisha picha za harusi alizopiga na marehemu Goldie.

Like that wasn't enough
Kupitia Ukurasa wake wa Facebook, Steve Harvey ameandika maneno yanayoonyesha wazi kumlenga Prezzo akiambatanisha picha za harusi alizopiga na marehemu Goldie.