Pages

THT Kusaka Vipaji Vipya vya Waimbaji Kesho

Nyumba ya vipaji Tanzania, THT, imetangaza leo kuwa jumapili ya kesho tarehe 3/3/2013 watafanya usaili wa kusaka vipaji vipya katika ofisi zao za THT Block 41 zilizo karibu na Nyumbani Lounge (Kinondoni). Usaili huo utaanza saa tano kamili asubuhi, ukihitaji … Endelea kusoma>>