Pages

Mtu Mmoja Amefariki Dunia, 11 Wamejeruhiwa ktk Ajali Gairo (Video)

Mtu mmoja amefariki dunia papo hapo na 11 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la kampuni ya Muhamed Trans likitokea Dar es salaam kwenda Dodoma baada ya kupata ajali katika eneo la Kiegea Gairo barabara ya Morogoro Dodoma .