
Leo ilikuwa ndiyo siku ya hukumu dhidi ya watuhumiwa watatu wa mauaji ya marehemu Swetu Fundikira aliyeuawa kwa kupigwa miaka miwili iliyopita. Mara baada ya watuhumiwa hao kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa, ndugu na jamaa wa marehemu waliangua kilio na wengine hadi kuzimia kama walivyoshuhudiwa na paparazi wetu aliyeweka kambi mahakamani hapo..

Safari ya huzuni ya Rhoda Robert kuanza maisha mapya gerezani mara baada ya hukumu...

Kushoto ni dada wa marehemu Rehema Fundikira, Hadija Mdemu shemeji wa marehemu wakilia mahakamani hapo.

Mmoja wa ndugu wa Fundikira akibebwa mara baada ya kuzimia na kudondoka sakafuni

Akipepewa huduma ya kwanza kwa kupepewa




WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira, MTM 1900 Sajenti Roda Robert (42) wa kikosi cha JKT - Mbweni na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JWTZ
No comments:
Post a Comment