

Lita moja ya mkojo inakupa masaa 6 ya umeme

Mfumo mzima unafanya kazi hivi:
mkojo unawekwa kwenye electrolytic cell ambayo inatenganisha Hydrogen
Hydrogen inakwenda kwenye filter ya maji kwa ajili ya kusafishwa ambapo baada ya hapo inasukumwa kwenda kwenye gas cylinder.
Gas cylinder inaisukuma Hydrogen kwenye cylinder ya liquid borax ambayo inatumika kuondoa moisture kwenye gas ya hydrogen
hii gas ya Hydrogen iliyosafishika inasukumwa na kuelekea kwenye generetor
No comments:
Post a Comment