Pages

Nafasi Ya Kazi

Ninahitaji msaada wa kuwaanda wafanyabishara wadogo wadogo  katika mahojiano (research interviews). Yafuatayo ni maelezo ya ziada juu ya msaada huu:
·         Muhusika atakuwa anajishughulisha na kuwapigia simu washiriki (participants) na pia kupanga ratiba ya mahojiano.
·         Kazi hii inaweza kufanyikia nyumbani.

·         Itahusisha wahusika toka katika wilaya zote za mkoa wa Dar es Salaam (yaani; Ilala, Kinondoni, na Temeke).

·         Mahojiano haya yanatarajiwa kuwa ya mwezi moja kuanzaia wiki lijalo.

·         Malipo ni maelewano.

·         Utafiti huu ni wa kiwango cha PhD.

·         Washiriki ni wamiliki au mmaafisa wa biashara ndogo ndogo na za kati (owners of small and medium-size enterprises).

Sifa za muombaji

·         Muombaji awe na elimu ya kidato cha nne au zaidi.

·         Awe anaelewa maeneo mbalimbali ya jiji la DSM kwaajili ya kupanga mahali pa kufanyia mahojiano.

·         Awe na uwezo wa kuandika na kuonge lugha ya kiingereza kama itahitajika.

·         Awe na uwezo wa kufanya kazi bila ya kusimamiwa (being able to work independently).

·         Awe na uwezo mkubwa wa kuwashawishi washiriki (convincing power).

Kama unaona unazo sifa na uwezo wa kazi hii, basi wasiliana nami kwa kutumia email ifuatayo: johnson@eabazaar.com

Sincere,
Johnson

No comments: