
DJ CHOKA...
Much respect to my brother PROF JAY, hii ndio tattoo niliyomaliza kuchora. ONE....
- Dotto Msetti Hakuna la maana alofanya hadi mmpe misifa mingi hajatisha wala nn
Anaaribu mwili alopewa na muumba ukiwa mzima bila hayo maujinga anayofanya
Mungu atakuuliza cku ya mwisho.....!!!...See More - Isaac Tha JR Kapeface we, kwa waliomjulia choka juzijuzi ndo hamjui katokea mi namjua tangia mtimishi wa kanisani,akiwa anapiga disco toto vatcan mpaka leo,na bila prof jay usingekua hapo, prof. Amekulea kama mdogo ake nyumbni kwake miaka mingapi?? Big up. Kwa kukumbuka na kuthamini ulipotoka
- DJ CHOKA NDUGU ZANGU NIMESOMA COMMENTS ZENU NA NIKAWAELEWA SANA SIWEZI PINGA MAWAZO YA WATU OK. Sasa ni hivi nia na dhumuni la kuchora tattoo yenye jina la PROF JAY ni kwamba nusu ya maisha yangu yote mpaka kufika hapa nakuwa na familia yangu yeye ndio nguzo yangu imara na nuru ya ushauri wangu kila siku iendayo kwa mungu. Na kama mlikuwa hamjui me sio shabiki wa PROF JAY mimi ni ndugu na nimdogo ambaye wazazi wangu waliponiruhusu kulelewa na Prof Jay ndio nikaanza kufundishwa huu mziki wa bongo mpaka sasa nimekuwa na kusimama mwenyewe. So tattoo hii ni heshima ambayo haitofutila milele mpaka nakufa na why umsifie mtu akisha kufa? Nampa heshima yake akiwa hai ili ajue kwamba huu wino unamaana nyingi sana. Natukuza vya nyumbani vya nje sivijui kiundani...ASANTENI
- Brian Haule Bila Prof Jay Choka asingekuwa hapa alipo sasa na nadhani Tattoo hii ni ku pay Homage to Profesa Jay kwamba ana appreciate. NUFF respect DJ Choka kwa kuwa mzalendo. Choka alikuwa DJ Shows za Profesa Jay. Mwana wewe wa ukweliiiiiii Djchoka MrApetite , u gat my respect.
No comments:
Post a Comment