
Baada ya misuko suko ya hapa na pale na hatimae kurudi uraiani, msanii kutoka A city Lord eyes, anaonekana kurudi na kuitengeneza upya image yake kwa..
kudondosha ngoma kwa kasi, kwa fans and friends.Lord ameonekana katika studio za Bongo Recordsakiwa na majani na msanii Damian akirekodi pini.
Jina la ngoma halijafahamika bado, but itakuwa ni surprise kwako.kudondosha ngoma kwa kasi, kwa fans and friends.Lord ameonekana katika studio za Bongo Recordsakiwa na majani na msanii Damian akirekodi pini.







No comments:
Post a Comment