
Amir Kundecha Bismillahir Rahmanir Rahiim TAARIFA Taarifa rasmi kuhusu hali ya Sheikh Issa Ponda itatolewa leo (Jumapili) Al'asiri msikiti wa mtambani, jijini Dar-es-salaam. Pamoja na taarifa hiyo, Amiri wa Baraza Kuu, Sheikh Mussa Kundecha atazungumza na vyombo vya habari Insha-Allah muda na mahali hapo hapo.
Wabillah Taufiiq
11 Agosti, 2013
No comments:
Post a Comment