Pages

Baba na Mwanae Wamekutwa Wakiwa Hai Baada ya Kuishi Msituni Takribani Miaka 40.

Wamepatikana wakiwa wazima kabisa ..
Ho Van Lang
Ho Van Lang 42 akitolewa msituni baada ya kuishi miaka 40 huko
Vietnam
nyumba yenye urefu wa mita 5
Baba huyo ambae sasa ana miaka 82 alikimbia Vietnam na mwanae ambae alikua na miaka 2 tu na kutokomea kusiko julikana baada ya bomu kusambaratisha familia yao....
Vietnam
nguo walizokua wakivaa
Baba huyo na mwanae waliishi kwenye kijumba cha miti chenye urefu wa mitaa 5 na wote walikua wakivaa magamba ya miti kama njia ya kujistiri
Vietnam
Ho Van Lang akijaribu kuongea na watu
Mtoto wake huyo mwenye miaka 42 sasa anajua maneno machache ya lugha ya kiveitnam na pia anahitaji kusaidiwa na mashine hili aweze kutembea wima...

Ho Van Thanh(82) akibebwa kutolewa msituni
Kabla ya kukimbilia msituni huko, Ho Van Thanh alikua akiishi katika kijiji kidogo cha Tra Kem ndani ya Quang Ngai katikati ya Vietnam

No comments: