
Muendesha wa kipindi cha Bongo Views Joshua Kijo Simon Madelkeka walioendelea kujadili Mjadala kuhusu Mjadala kuhusu uraia wa nchi mblili.na mambo mengi kuhusu mstakabaliwa nchi yetu, wakiwa ndani ya Studia ya Global Entertainment and News Network (GENN)

Wachangiaji kipindi kushoto Mjombo Andrew Mkinga, akiwa na Anko Bavon Mwakasungula, wakijadili Mjadala kuhusu uraia wa nchi mblili na mambo mengi kuhusu mstakabaliwa nchi yetu, wakiwa ndani ya Studia ya Global Entertainment and News Network (GENN)
Kipindi cha Bongo Views kitaendele tena hewani LIVE wiki hii, siku ya Jumamosi Aug 24, 2013 MIDA ya Saa 5: PM kwa Saa za Marekani ya kati. Saa 6:PM jioni kwa Saa za EST US. Na Tanzania Saa 1:AM Usiku kwa wale wanaopenda kukesha wasikose kutembelea HAPA Global Entertainment and News Network (GENN). Mjadala utakua kuhusu Madawa ya kulivya, Nchini kwa kuchangia njia ya simu piga simu number (913) 662-1190
Bongo views take 2
No comments:
Post a Comment