Kamati Maalum ya Maandalizi ya Sherehe ya Eid inawaalika wote ?kusherehekea kumalizika kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani (Eid El-Fitr) ?itakayofanyika katika viwanja vya makazi ya zamani ya Ubalozi.
30 Overhill Road,Mount
Vernon,New York.
August 10th, 2013,?Saturday 2pm
Watanzania wa dini zote mnaalikwa kuhudhuria sherehe hizi ili tuendeleze tamaduni zetu za ushirikiano.Maandalizi yamekamilika na waalikwa hawahitajika kuleta chochote katika sherehe hii.
Kwa maelekezo zaidi wasiliana na Mwenyekiti kamati ya maandalizi Maalim Seif...614 772 2649
Wajumbe:
Shabani Mseba 347 712 8539
Tahir Bilal 917 335 5132
Mubarak Mandia 347 245 8795
Ally Abubakar 713 504 2410
Hamza Mandia 347 314 4255
Asya Mwilima 718 288 8895
Ahsante na Karibuni. Eid Mubarak!
No comments:
Post a Comment