Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA akizungumza na Waandishi wa
Habari jana tarehe 18/06/2013 Makao Makuu ya CHADEMA amesema CHADEMA inao
ushahidi wa video kuwa aliyelipua bomu kwenye mkutano wa Chadema Arusha
ni Polisi na Polisi wenzake wakamsaidia kutoroka