Mashindano ya mbio za magari yameanza leo katika viwanja vya stesheni ya Reli Tazania jijini Dar es salaam jumla ya magari yaliyoshindana leo ni 17 uzinduzi huo ulifanya na mgeni rasmi Katibu mkuu wa Baraza la Michezo Henry Lihaya mashinmdano hayo yanayojulikana kama PUMA ENERGY RALLY OF TANZANIA 2013 MBIO HIZO KWA MUJIBU WA RATIBA NI YANANZA TAZARA , KILUVYA ,KITANGA.KAZINZUBWI , SUNGWI ,KISARAWE YATACHUKUA SIKU MBILI YAMEANZA LEO NA KUMALIZIKA KESHO