Pages

Bibi Mariana Ong'ango Ololo Mwenye Miaka 78 Aanza Darasa la Kwanza ktk Shule ya Msingi Obambo

Bibi Ololo, 
Bibi Ololo, akicheza mpira wa miguu na wanafunzi wenzake katika shule ya msingi Obambo
Bibi Ololo,Mariana Ong'ango Ololo 
Bibi Ololo amesema kwamba, uchaguzi mkuu uliopita uliomchagua Uhuru Kenyatta umemonyesha ni namna gani elimu ni muhimu sana.
Mariana Ong'ango Ololo 
Beatrice AkinyiMwalimu wa darasa Beatrice Akinyi akimsaidia bibi Ololo kuandika jina lake wakati wa somo darasani.
Bibi Ololo akiwa nyumbani kwake akijishughulisha baada ya masomo.
Bibi wa miaka 78 mjane ameamua kuanza shule ya mzingi darasa la kwanza kwakuwa anataka kutekeleza nia zake za kisiasa.
Bibi Mariana Ong'ango Ololo anatembea umbali wa mail 2 kufika shuleni akiwa amevalia unifom yake na anashiriki na wanafunzi wenzake wa darada moja ambapo wako wanafunzi 86.
Elimu ni bahari, elimu haina mwisho, elimu haina umri, elimu inafuta ujinga.