Tazama Video Jinsi Moto Ulivoteketeza Maduka ya Vipodozi Mwenge
Hali ya taharuki imetokea katika kituo cha daladala cha Mwenge jijini Dar es Salaam baada ya moto kuanza kuwaka katika baadhi ya maduka ya vipodozi katika eneo hilo na kusababisha baadhi ya bidhaa na maduka kuteketea kwa moto.