Pages

Yanga Uso kwa Uso na Rais Paul Kagame Ikulu, Kigali



Rais Paul Kagame wa Rwanda akisalimiana na kocha wa Yanga alipowakaribisha mabingwa hao wa Kombe la Kagame 2012 Ikulu jijini Kigali

Mwenyekiti wa Yanga Bw Yusuf Manji akitoa neno la shukurani kwa heshima hiyo ya kukaribishwa Ikulu na Rais Kagame

Wachezaji wa Yanga wakisikiliza hotuba ya Rais Paul Kagame

Rais Paul Kagame akipokea kombe la ubingwa la Kagame toka kwa nahodha Haroub Nadir Canavaro na kocha wa timu hiyo

Rais Kagame akikabidhiwa zawadi ya jezi ya Yanga

Rais Paul Kagame akiongea na.. wanaYanga

Rais Kagame akiongea huku Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji akimsikiliza kwa makini

Rais Paul Kagame katika picha ya pamoja na Yanga.

Rais Paul Kagame wa Rwanda akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Yanga Mama Fatma Karume alipowakaribisha mabingwa hao wa Kombe la Kagame 2012 Ikulu jijini Kigali

Wachezaji wakiwa tayari kupata chakula cha usiku Ikulu ya Kigali

Stori wakati wa kusubiri mlo
Picha na Saleh Ally