Inawezekana kwamba diamond ana hasira na babake lakini ukweli ni kwamba
pengine anajua usichokijua ambacho mzazi wako wa kike anakifahamu endapo
utamuuliza,lakini siku zote msamaha ni jambo muhimu hata mbele ya
mwenyezi mungu,kurudia kosa ndio kosa,jihadhari asije akakulaani
ikawa,,,,,,,,,,,,,,ALIE JUU MNGOJE CHINI. nina imani
umenielewa, Ujumbe huu watoka kwangu ZAITUNI AHMED kutoka
kenya-mombasani. ningependa kujua uamuzi wako kulingana na swala
hili,,SAUM MAKBUL.
No comments:
Post a Comment