Ni mmoja kati ya watu maarufu sana hapa nchini. Jina lake
limetajwa sana, picha zake zimejitokeza mara nyingi kwenye vyombo vya
habari na mitandao ya intaneti. Wakati Yussuf Makamba akiwa Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam, mzee huyu alipata umaarufu kutokana na mchuano wao,
anatajwa na Prof. Jay kwenye wimbo wake bongo Dar es Salaam. Huyu ni
mzee Anthon Matonya a.k.a Rais wa Dodoma, taarifa nilizopata ni kwamba
mzee huyu hatunaye tena. R.I.P Mzee Matonya.
Source: Iddy Harnaa Mkwama
Source: Iddy Harnaa Mkwama