Pages

ROMA MKATOLIKI APATA AJALI MBAYA AKIELEA KWENYE SHOW

Muda mchache uliopita msanii wa kizazi kipya kwenye bongo hip hop ROMA amepata ajali mbaya barabara ya Morogoro.
DarSlam
 Kwa mujibu wa Hugo, Roma alikuwa yupo kwenye mwendo wakawaida ndio tairi la mbele lilipopata pancha na ndipo gari likaacha njia yake na kwenda kugongana uso kwa uso na fuso ambalo lilikuwa upande wa pili na gari hilo dogo alilokuwa akiendesha Roma kurudi lilipotokea.Kwa sasa anaelekea Hospital kwa check up zaidi ila aliokuwa nao kwenye gari hakuna aliyeumia wote ni wazima.
DarSlam
Roma akimwelezea police wa..
usalama barabarani kilichotokea mpaka kupata ajali hiyo mbaya.
DarSlam
DarSlam
Huyu ni mmoja kati ya marafiki wa Roma aliyekuwa nae kwenye gari wakielekea Morogoro kwenye show
DarSlam
DarSlam
DarSlam

No comments: