Pages

DK. Ulimboka Arejea Mzima wa Afya!!

Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, amerejea leo nyumbani akitoka Afrika Kusini katika matibabu. DarSlam
Dk Ulimboka amepokelewa leo na madaktari wenzake, ndugu jamaa na marafiki, alipowasili Jumapili Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa kiamataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini. Alisema yuko fiti na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa.akiwasili jana Agosti 12, 2012 akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini
DR.ULIMBOKA, KABLA YA KUJERUHIWA, ALIPOJERUHIWA NA BAADA YA KUPONA
DarSlam
Dk. Steven Ulimboka, alipolazwa hospitalini jijini Dar es Salaam, picha ya katikati, anavyoonekana jana baada ya..
kutibiwa Afrika Kuisni na kulia ni jinsi alivyokuwa kabla ya kujeruhiwa na watekaji.
DarSlam
Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, akiwa amebeba maua, nakuzungukwa na amadaktari wenzake na wananchi wa kawaida, alipowasili Jumapili Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa kiamataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini. Alisema yuko fiti na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa.
K-VIS Blog