
STORY PILI - SHADAMO.
Upcoming Artist kutoka Green City namzungumzia Shadamo, ambaye pia anafanya vizuri kupitia Track ya MILELE MIMI NA WEWE amewatwatukia wasanii wenzake Undergrounds kujiamini na kujipenda katika kazi zao, licha ya kuwa katika kufikia mafanikio kuna misukosuko ya vikwazo na kutatishana tama, lakini wakitia nia gemu la muziki wa kizazi kipya lina wigo mpana wa mafanikio.
SIKILIZA MAHOJIANO NA SOGGY DOGGY NA SHADAMO KATIKA CHUMBA CHA SINDANO ya KALI ZA BOMBA - BOMBA FM 104.0MHz