Pages

KONGAMANO LA REGGAE LILILOFANYIKA BASATA LEO

BASATA
Ras Aluta Christopher Warioba akiongea na waandishi wa habari kwenye kongamano la wasanii wa Reggea lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA
Reggea
Ras Inocent akiongea neno kwenye kongamano la wasanii wa Reggea lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA
Reggea
Ras Ton akizungumza na vyombo vya habari wakati wa kongamano la Reggea lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA
Reggea
Ras Baraka akiwa kwenye stage akifanya maandalizi ya kuonesha burudani kwa wapenzi wa Reggea
Reggea
Ras Inocent akitoa burudani kwenye kongamano hilo
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Hata wakina mama nao walikuwepo


Mama huyu alishindwa kuvumilia music wa Reggea akaanza kucheza kwenye mvua
 BASATA
Dabo akitoa burudani wakati mvua inanyesha yaani mzuka kulikuwa hakuna kusitisha furaha kwa wapenzi wa Reggea wwaliokuwa kwenye tamasha ilo

Ni burudani tu hakuna kusubilia mvua ikatike
Ras Ikabonnga Katondo akiwa na Ras Anord Kalikawe kwenye kongamano lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA